Nyumba za kisasa zinapangishwa wilaya Temeke - DSM

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
Kwa anaehitaji nyumba ya kupanga ya kisasa awasiliane na mimi. Nyumba zipo chache wahi mapema na bei ni nafuu. Nyumba zipo ndani ya wilaya ya Temeke.
 
Kaka mwisho

Je, katika package zako naweza kupata apartment ambayo ni chumba na sebule (self contained) huku ikiwa na nafasi kidogo inayoweza kuwa ni jiko au store? Ndugu, hebu funguka vizuri
 
Last edited by a moderator:
Je, katika package zako naweza kupata apartment ambayo ni chumba na sebule (self contained) huku ikiwa na nafasi kidogo inayoweza kuwa ni jiko au store? Ndugu, hebu funguka vizuri

nyingi ni vyumba 3, sitting na dining, jiko na fensi
 
Kaka mwisho

Je, katika package zako naweza kupata apartment ambayo ni chumba na sebule (self contained) huku ikiwa na nafasi kidogo inayoweza kuwa ni jiko au store? Ndugu, hebu funguka vizuri

Mimi natafuta kama hio pia iwe maeneo ya ubungo hivi tabata, mwenge.......etc
 
Last edited by a moderator:
Kaka mwisho

Je, katika package zako naweza kupata apartment ambayo ni chumba na sebule (self contained) huku ikiwa na nafasi kidogo inayoweza kuwa ni jiko au store? Ndugu, hebu funguka vizuri

apartment zimeisha zimebaki nyumba za gharama laki 3 mpaka laki 4.
 
Last edited by a moderator:
Hizo nyumba zipo temeke maeneo gani be specific mkuu pia weka no za simu itakuwa bora zaidi
 
Kweli biashara ni taaluma; yaani unaweka Tangazo bila mambo muhimu

1. Aina za nyumba (ukubwa, single storey or multistorey)
2. Mawasiliano yako
3. Price range/bei kutokana na nyumba husika
4. Picha na maeneno ya nyumba zinakopatikana.

Ukiuliza atakwambia yeye ni Marketing Manager au Sales Executive.......!!!!!!
 
APARTMENT IN TOWN;

FOR RENT;
3 Bedroom,
1 toilet,
Sitting room,
2 air condition,
Satelite dish,
Full finished,
Long barcony..
Parking..
Security.. Great view of indian ocean

Self meter luku..
Water supply is available.. Direction; Ocean
View;

PHONE; 0783547184.

More photos follow facebook page
@ Dalali Abby
 
Back
Top Bottom