[emoji23] [emoji23] nice answerKiwanja kina umeme na maji??
[emoji57] [emoji57]
Acha dharau[emoji57] watu km ndiyo walewale 900 itapendeza fyuu km umeona ni gofu si unyamaze amekwambia umwambie hovyooo "eti kila la kheri" [emoji15] unafki mtupu!.hio ni nyumba au gofu ? dah, nimeona na korido. kila la kheri mkuu
Hahahaa! Imebidi nicheke
Elf15 vipi unataka kupanga?
sawa lovely mom ila ujumbe umefika, hapo ni kiwanja kinauzwa.Acha dharau[emoji57] watu km ndiyo walewale 900 itapendeza fyuu km umeona ni gofu si unyamaze amekwambia umwambie hovyooo "eti kila la kheri" [emoji15] unafki mtupu!.
A cha kubishana mwenye uhitaji ataelewaKwani hii nyumba hairekebishiki? Unanunua unaitengeneza fresh unaanza kupiga pesa ya maana kwa kupangisha