Nyumba ya Wageni nzuri maeneo ya Mbezi Beach

Nakubaliana na wewe ili niokoe wakati.

Ungetaka Kweli Kuokoa Wakati Kamwe Usingehangaika Humu Kutusumbua Watu Na Akili Zetu Tukuelekeze Zilipo Nyumba Nzuri Za Kulala Wageni Wakati Kila Sehemu Zipo Na Kama Kweli Upo Hapo Maeneo Ya Mbezi Beach Hao Madereva Wote Wa Tax au Bajaj au Hao Wa Bodaboda na Hata Tu Wapita Njia Wanazijua Na Ni Kiasi Tu Cha Kuwauliza Na Watakuelekeza Ila Kama Nilivyokuambia Pale Mwanzo Kuwa Kwa Hiyo Bei Yako Ni Lazima Tu Humo Ndani Utacheza Mno Na Mende Pamoja Na Kunguni Huku Taratibu Panya Wakipuliza Kisigino Chako Na Wakizunguka Humo Chumbani Huku Na Kule Wakikusaidia Kufanya Indoor Tourism.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , siyo mimi ni wageni wangu inaelekea hata thread hujaisoma.. Acha kukurupuka
 
Kwahiyo Umeamua Rasmi Kuwadhalilisha Hao Wageni Wako Kwenye Mende, Kunguni Na Panya? Unadhani Hao Wageni Wako Wakirudi Huko Kwao Wataielezeaje Tanzania?
 
Tehe tehe ...ya michepuko hiyo. Mbezi beach kuzuri. Kama za beach kabisa atatoboka sana mfuko. Kuna Kibona na Havana zipo Africana. Ziko poa tu.

Mkuu Havana ipo poa sana. Isitoshe ni karibu na road kabisa.
 
Mkuu nisaidie, nahitaji za kawaida kabisa, zisizidi elfu 15 kwa siku. Achana na hizo executives!!

Kuna moja ipo maeneo ya goig karibia na ilipokuwa GYM zamani hiyo bei yake elfu7 wanapokea watu wa kulala kuanzia saa 2 usiku
 
Mim naishi Africana Ila sijawahi sikia lodge ya 15000 labda kama unataka guest hapo sawa
 
Wakati huo ikiwa na rooms za 30 walikua wanataka kupafunga ,wamepandisha kuna nini kimeongezeka mkuu ?? Tofauti na Ac,tv,na hizo sofa zao red sijui brown ?
Wewe mkuu unapafahamu na vile vitofali vyao vya hydrofom vilivyoliwa na maji chumvi..pale wamejenga kwenye mikoko zile x zitawahusu tu
 
Sidhani kama mtu anaweza kupata mahali pazuri pa kuweka wageni kwa sh. 15 eneo la Mbezi Beach. Labda Bunju
 
Elf saba? Duh

Ila ninasikia ina masharti ukienda asubuhi au mchana hawaruhusu wateja wa kulala hapo utakaa for short time nenda kuanzia saa 2 utaruhusiwa kulala na ikifika saa 4 asubuhi usepe uwaachie chumba chao
 
Wewe mkuu unapafahamu na vile vitofali vyao vya hydrofom vilivyoliwa na maji chumvi..pale wamejenga kwenye mikoko zile x zitawahusu tu
Dah aisee kuna wakati naskia mwenyewe alikua anadaiwa pale lazima wamlime x ,ila kupavunja ni swala jingine
 
Back
Top Bottom