Nyumba ya Wageni nzuri maeneo ya Mbezi Beach

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,561
Reaction score
28,445
Heshima yenu wakuu.

Ninategemea kuwa na ugeni siku chache zijazo, kwa mazingira ya Dar wageni wangu wamependelea kupumzika maeneo ya mbezi beach.

Sasa wakuu najua JF halishindikani jambo, naomba mnifahamishe nyumba nzuri za wageni zinazopatikana maeneo ya Mbezi pamoja na bei zake itakuwa njema zaidi.

Natanguliza shukrani.
 
Viva Villa, Juliana, Nyambizi, Ozone zote ukifika Africana Ukiulizia Unapelekwa then Utaulizia hapo hapo bei i hope zipo friend tu.🙂
 
Kuna Villas flani njia ya africana kabla hujafika kwenye zile humps (bumps). ila sijui bei maana nilienda long time sana am sure imepanda.
Tehe tehe ...ya michepuko hiyo. Mbezi beach kuzuri. Kama za beach kabisa atatoboka sana mfuko. Kuna Kibona na Havana zipo Africana. Ziko poa tu.
 
Mkuu nisaidie, nahitaji za kawaida kabisa, zisizidi elfu 15 kwa siku. Achana na hizo executives!!
 
Heshima yenu wakuu.

Ninategemea kuwa na ugeni siku chache zijazo, kwa mazingira ya Dar wageni wangu wamependelea kupumzika maeneo ya mbezi beach.

Sasa wakuu najua JF halishindikani jambo, naomba mnifahamishe nyumba nzuri za wageni zinazopatikana maeneo ya Mbezi pamoja na bei zake itakuwa njema zaidi.

Natanguliza shukrani.
Shinovo na Viva Villa.... Ingawa kwa utulivu zaidi, usafi, uzuri zaidi ni Shinovo.... Bei ni from 60~80

Viva Villa ni 50
 
Tuhakikishie kama si kwa madhumuni ya uzinzi kama ni kwa uzinzi aslani kikwambii mana nikama kugawana dhambi sawa kwasawa ushirika huu kwangu siuhitaji kabiaaaa
Mkuu kama nilivyoelezea kwenye uzi hapo juu.
 
Nenda silver lodge, interchick unaingia na kile kinjia malori yanapaki, ulizia hapo ukifumaniwa ujue ni mchezo unechezwa bei 25,000/=
 
Shinovo na Viva Villa.... Ingawa kwa utulivu zaidi, usafi, uzuri zaidi ni Shinovo.... Bei ni from 60~80

Viva Villa ni 50
Kuna za 30 Viva mkuu au hii 50 ya mwaka mpya ?? Viva yenyewe ilikua mbioni kufungwa sijui imeishia wapi
 
Acha dharau wewe..

Mtoto Wa Mjini Huwa Haulizi Nyumba Gani Ni Nzuri Ya Kulala Wageni Ila Ukishakuwa Wakuja Ndiyo Hapo Tatizo Linapoanza Na Kuwa Kubwa. Vipi Umeingia Jana Nini Jijini Na Treni Yenu Ile Ya Bara?
 
Nakubaliana na wewe ili niokoe wakati.
 
Si umesema mwenyewe unataka ya 15000.

Na Ndizo Zenye Hao Mende Na Kunguni Wengi Sasa Nashangaa Analalamika. Hiyo Bei Akienda Kawe au Salasala au Mbwinde au Boko au Tegeta na Bunju Atapokelewa Kama Mfalme Na Atapata Chumba Kizuri Chenye Kila Kitu Ndani.
 
Mkuu mbona walishapandisha longtime....
Wakati huo ikiwa na rooms za 30 walikua wanataka kupafunga ,wamepandisha kuna nini kimeongezeka mkuu ?? Tofauti na Ac,tv,na hizo sofa zao red sijui brown ?
 
Back
Top Bottom