Nyumba ya Vyumba vitatu inapangishwa Sinza DSM

Nyumba ya Vyumba vitatu inapangishwa Sinza DSM

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,123
Reaction score
2,444
Nyumba nzuri ya ya kisasa inajitegemea kila kitu Ipo Sinza, Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo Master, choo cha public, sitting room, dining, tiles, gypsum, sliding windos, paving Blocks, car parking space, Maji masaa 24! kodi ni 600,000/= kwa mwezi

Kwa maelezo zaidi nichek kwa 0684448888 au 0713415537
20180604_130815.jpg
20180604_125712.jpg
20180604_125646.jpg
20180604_125631.jpg
20180604_125406.jpg
20180604_125731.jpg
20180604_125118.jpg
20180604_125216.jpg
20180604_125755.jpg
20180604_125552.jpg
20180604_125339.jpg


NB kwa mahitaji yoyote ya nyumba maeneo yoyote pia usisite kunichek, Nyumba, vyumba, frem nk

Karibuni
 
Mimi nahitaji chumba kimoja.
Maana sina makorokocho mengi ya kuweka.
 
mbona nyumba nzuri ivyo unapangosha kwa bei rahisi aisee
 
ila watu mna masihara

Jamaa mmoja alikuwa anamtania dalali, hii ni baada ya dalali kusema nyumba haivuji, sasa anamuuliza wewe umehakiki vipi kwamba haivuji?

Halafu nyumba yenyewe anakaa mwanamke na dalali ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom