Nyumba ya vyumba 9 inauzwa Milioni 18

Nyumba ya vyumba 9 inauzwa Milioni 18

Domo bayaa

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
la shangazi yako shauri yako utafukuzwa kwenu,au ndio dalali wa hilo banda la urithi?kwanza lina mzozo hupati mteja,umekosa cha juu kupe wewe!
 
Mbona imeshakua jioni namna hiyo jombaa?si ungepaka ata rangi kwenye bati?
 
la shangazi yako shauri yako utafukuzwa kwenu,au ndio dalali wa hilo banda la urithi?kwanza lina mzozo hupati mteja,umekosa cha juu kupe wewe!
Domo bayaa

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nyumba ya aina hiyo unakuta wapangaji mashindano balaaaaaaaaaa, huyu akinunua pazia la njano basi milango yote baada ya wiki njano mtupu, huyu akileta Sub woofer basi wote baada ya wiki Kelele mtindo mmoja hahahahaha, kibaya zaidi jilani jilani duuuuu full kugongeana ohoooooooo, full kuleleana watoto hahahaha!. Wasalimie sanya juu mkuu
 
Ukiinunua maana yake kurudisha hiyo hela yako ni baada ya wewe kufa au baada ya miaka 10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom