Nyumba ya Obama baada ya kustaafu

Asante kwa msaada wako nilikuwa natafuta miwani yangu ya kusomea hapa siioni.
 
Hivi huwezi kuwa Rais kisha ukaishi off Cam pas? Yaani usiwe boarding kama Magu pale Magogoni!
 
Hiyo $6million uilete bongo utashusha kitu cha hatari sana. Sh. 12 billion, sijui ni mansion gani hilo bongo..daah!!
 
Upuuzi mtupu, hujatoa sababu zilizokufanya useme familia hizo ni mifano ya kuigwa!!
 
Jamaaaaa Amna kitu day nyingine usiongeee ujinga Amna aliye elewa
 
Kweli 96% ya maongezi ya vijana ni pumba!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…