Nyumba ya mbwa wangu mnasemaje wabongo?

Unatutafuta uchokozi naona...
 
Kwa hii maneno bila shaka una mabinti wa kutosha tuu MziziMkavu si bure, na ni warembo mbaya. kama sivyo mbwa kama huyu wa nini EU.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sorry kama nitakuudhi na swali langu,
Hivi hapo nyumba kubwa yako ni huyo mnyama ama? 😱
 
Kwa hii maneno bila shaka una mabinti wa kutosha tuu MziziMkavu si bure, na ni warembo mbaya. kama sivyo mbwa kama huyu wa nini EU.
Mkuu Lyandembela1 Ukija kufuata watoto wangu wa kike kwanza itabidi ukutane na huyu mbwa kisha ndio waweza kukutana na ho mabinti zangu Mbwa mkali huyu Mkuu usijaribu.
 
Last edited by a moderator:
ha ha kizazi cha dijitali hiki ndg yangu, kwanza tunaanzia Supermarket then Whasup mwisho tunamalizia FB. hakuna kuja nyumbani siku hizi Dr wangu MziziMkavu.

Mnafuga mambwa, mnamiliki mibunduki walinzi nani anataka matatizo watoto zenu wenyewe pasua kichwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…