Pole sana hayo maeneo uliyotaja apartment ya vyumba vitatu including master inapangishwa US$ 1,000 - 3000 na hata hizo za kutafuta siyo zipo ready made!!!
Mwambie mwenye kuhitaji hiyo nyumba kama uwezo wake ni huo wa Tsh 300,000 -- 400,000 asiwe na wasiwasi nyumba zipo huku tunakokaa sisi Bonyokwa na Mpigi Magori, hata kule kwa Kawawa unaweza ukapata