Nyumba ya kupangisha inatakiwa haraka

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,068
183
Wananchi!
Jamaa yangu anasaka nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo:-
1. Mikocheni
2. Sinza
3. Msasani
4. Kijitonyama
5. Kinondoni (Ada Estate)
6. Regent Estate (Maeneo ya Victoria) au…
7. Mbezi Beach
Nyumba iwe na Maximum 4 Bedrooms (minimum 3 Bedrooms) including Master BR, Choo, Bafu, Jiko, Dinning RM , Living RM na Store. Iwe na umeme, maji (if possible plus a reserve water tank/well), Iwe fenced with a well secured GATE pia!!
Price range (Tanzania Shillings only) : Between 300,000/= to 400,000/= pm!
Kwa mwenye taarifa tafadhali tuwasiliane kwa kuni-PM au tum aemail kwakwe moja kwa moja:- slukanga71@gmail.com
NB: Nyumba inatakiwa haraka (Mid October – 1[SUP]st[/SUP] November)
Asanteni
 
Kwa hiyo offer yako na maeneo tajwa umeshafeli, huko kote single room master inaanzia Laki na kuendelea,nenda Bonyokwa au Kibada unaweza pata pazuri tu.
 
Pole sana hayo maeneo uliyotaja apartment ya vyumba vitatu including master inapangishwa US$ 1,000 - 3000 na hata hizo za kutafuta siyo zipo ready made!!!

Mwambie mwenye kuhitaji hiyo nyumba kama uwezo wake ni huo wa Tsh 300,000 -- 400,000 asiwe na wasiwasi nyumba zipo huku tunakokaa sisi Bonyokwa na Mpigi Magori, hata kule kwa Kawawa unaweza ukapata
 
Wasalimie wa Bonyokwa na Mpigi Magori, na kule kwa Kawawa

Jamaa amepata ya $400, amekwenda kuitazama, itategemea makubaliano yao...
 
Wasalimie wa Bonyokwa na Mpigi Magori, na kule kwa Kawawa

Jamaa amepata ya $400, amekwenda kuitazama, itategemea makubaliano yao...


Sawa wanawasalimia sana, nilishawambia kama mtakuja kutafuta nyumba walishawawekea, kama amepata mpe hongera ingawa hujasema wapi amepata ili na sisi tuje tutafute maeneo hayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom