Nyumba ya kupanga

Nyumba ya kupanga

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari zenu wa kuu, mimi nategemea kuhama napokaa mwezi wa kwanza mwakani, naomba kama kuna dalali au mtu anayefahamiana na dalali anipatie namba au aniunganishe naye!! au kama kuna mtu anahitaji kuhama sehemu mwezi wa 12 naomba msaada wake, napenda kukaa, BUZA, YOMBO DOVYA, TABATA SEGEREA, KIGAMBONI AU KURASINI!!
nyumba iwe ya kujitegemea, choo, siting rum, jiko na vyumba 2 au kimoja cha kulala!! bajeti ni kati ya 100,000-150,000
 
survey, makongo juu, changanyikeni, au mitaa ya mwenge?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom