Nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nyauba, Apr 23, 2012.

 1. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nitakuwa na wageni kutoka Ulaya ambao watakaa nchini kwa muda wa mwezi mmoja. Wanahitaji nyumba/apartment kwa ajili ya kuishi kwa muda wa mwezi mmoja tuu. Naomba yeyote mwenye taarifa kuhusu nyumba za namna hiyo anijulishe tafadhali. Bei,eneo ilipo na size ya nyumba ni taarifa muhimu.
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wanafikia Mkoa gani?
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  je twaweza kula cha juu?
   
 4. c

  coco2025 New Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka ya bei gani?zipo mbezi masaki na mikocheni
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  wako wangapi na watafika lini . kuna nyumba ina vyumba 26, na nyingine 16 tunaweza wasiliana 0686 200 117, 0755 099 291, 0657 145555, ostabey B.
   
Loading...