Masiihid Dajjaal
Member
- Oct 18, 2018
- 9
- 7
Kuna mpangaji mwenzangu eti ameenda polisi kushtaki ameibiwa millioni 5, watu wengine waongo kweli hela yenyewe ilikuwa laki 7 tu! Na sirudishi senzi😝
imekula kwakeAlimaanisha 5m pamoja na riba ya hiyo 700k