Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,710
- 32,483
Natumai wote tu wazima.
Nahitaji nyumba ya kupanga Moshi mjini katika mitaa ya Rau, Ushirika au Shanti town. Nyumba iwe na vyumba 3 inayojitegemea. Bajeti yangu ni kati ya shilingi za kitanzania laki 5 hadi laki 7. Sina makuu zaidi.
Natanguliza shukrani.