Nyumba ya kupanga mikocheni

Nyumba ya kupanga mikocheni

jokielias

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,210
Reaction score
363
Habari wadau,

Tunapangisha nyumba ipo Maeneo ya mikocheni Plaza.

Mazingira yake:
Eneo Lina SQM 1,500. Ina ukuta umezungushwa.

Ni Nyumba ya Ghorofa moja.

Ina vyumba 5, sebule, jiko na DINNING pamoja na servant quarter kwa nje.
Parking space kubwa.
Kodi : Million 4 kwa mwezi.

Inafaa kwa matumizi ya ofisi, godown au makazi binafsi.

Piga simu kwa maelezo zaidi.
Mmiliki- 0623878747/068616864.
 
Ukipata time mwaga mapicha mkuu, kuna wateja pia huku wanaweza vutiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom