amu JF-Expert Member Aug 8, 2012 16,132 31,125 Apr 11, 2016 #1 Master na sebule jiko kodi 80,000 kwa mwezi inapokelewa miezi 6.......interested pm.. Kuna tank na magari ya maji yanapita nje
Master na sebule jiko kodi 80,000 kwa mwezi inapokelewa miezi 6.......interested pm.. Kuna tank na magari ya maji yanapita nje
bizzle for shizzle JF-Expert Member Dec 22, 2014 1,012 741 Apr 12, 2016 #3 Nyumba haina maji.....kuna tank magari yanapita nje maana yake nini?
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,083 8,374 Apr 13, 2016 #4 We mrembo yani ile A ya marketing pale chuo ndio umeandika tangazo gani hili?
amu JF-Expert Member Aug 8, 2012 16,132 31,125 Jun 22, 2016 Thread starter #5 Jerrymsigwa said: We mrembo yani ile A ya marketing pale chuo ndio umeandika tangazo gani hili? Click to expand... Nimejitahidi sana hapo
Jerrymsigwa said: We mrembo yani ile A ya marketing pale chuo ndio umeandika tangazo gani hili? Click to expand... Nimejitahidi sana hapo
Nyakarungu JF-Expert Member May 1, 2011 472 377 Jun 25, 2016 #6 amu said: Nimejitahidi sana hapo Click to expand... Bado ipo?