Nyumba ya kupanga Kigamboni.

Nyumba ya kupanga Kigamboni.

TheBuilder

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
237
Reaction score
212
Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vya kulala vitatu (3), iwe kuanzia maeneo ya Tuangoma mpaka Kibada, isiwe mbali sana na barabara kuu. Ni vyema ikawa na umeme lakini hata kama haina umeme ni sawa, nitajua ni jinsi gani ya kusolve hiyo issue.
Au maeneo ya Tungi Kigamboni.

Asante kwa ushirikiano.
 
Nitarudi soon, budget yako kiasi gani?
 
Mm ninayo ww ndo unaenda kukata seal. Iko na kila kitu nimechimba na kisima maji safi bariiidii na salama. Yaan dah ilivyotam nashindwa hata kueleza. Nipe bajet yako
 
Nikupe budget yangu au wewe uniambie inapangishwa kwa bei gani?
 
Kgambon nyumba inafuatana...lakin kama unatak nyumba ya hivyo vymba ulivyosem hata lak3,4.....nadhan 5.n 6 itakuwa nyumba yenye vyumba zaid ya 3
 
Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vya kulala vitatu (3), iwe kuanzia maeneo ya Tuangoma mpaka Kibada, isiwe mbali sana na barabara kuu. Ni vyema ikawa na umeme lakini hata kama haina umeme ni sawa, nitajua ni jinsi gani ya kusolve hiyo issue.
Au maeneo ya Tungi Kigamboni.

Asante kwa ushirikiano.
Nitafute ipo karibu na darajan vijibweni. 250000 pungufu unaongea 0679982881
 
Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vya kulala vitatu (3), iwe kuanzia maeneo ya Tuangoma mpaka Kibada, isiwe mbali sana na barabara kuu. Ni vyema ikawa na umeme lakini hata kama haina umeme ni sawa, nitajua ni jinsi gani ya kusolve hiyo issue.
Au maeneo ya Tungi Kigamboni.

Asante kwa ushirikiano.
Ni PM kuna nyumba twangoma Mimi sio dalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom