Nyumba ya kupanga inapatikana buza kanisani

Baby Anka

Member
Mar 11, 2018
33
77
Habari zenu
Nyumba ya kupanga inapatikana buza kanisani
Nyumba ni Chumba kimoja cha kulala self contained,na sebule
Mpangaji ni mmoja tu na mwenye nyumba
Nyumba haina makelele ni tulivu mno
Kodi ni 120,000/=kwa mwez
Unalipia kwa miez Sita
Umeme na maji unajitegemea
Hakuna hela ya dalali
Mwenye uhitaji ani PM tuwasiliane zaid
 
Back
Top Bottom