Nyumba ya kupanga inahitajika.

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,098
Reaction score
12,724
Maeneo: Mwenge, Savei, Mlimani city, Makumbusho, nk..

iwe na vyumba viwili vya kulala, sebule pamoja na jiko. Iwe ndani ya fensi.

Bajeti yangu ni 250,000.

natanguliza shukrani.
 
kwa maeneo hayo huwezi kupata kwa bei hiyo. Labda iwe kimeo sana.
 
Labda pesa hiyo ni malipo kwa siku moja tu.
 
mimi ni dalali mkuu, nina nyumba makumbusho upande vyumba 3 vya kulala bei 300,000 . kuna nyumba ya vyumba 4 kimoja master compound inatosha magari 2. kodi laki 3 miezi 6 anachukua. ipo kinondoni mkwajuni eneo linaitwa juhudi. na pia nina nyumba kama 3 zipo kijitonyama bajeti yake 700,000 . kama utahitaji hizo nyumba tuwasiliane haraka ukaone na kulipia . kumbuka wanaohitaji nyumba ni wengi kuliko idadi ya nyumba zilizopo. 0657 145555
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…