Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,916
- 14,640
Udalali wa nini wakati hapa wanakutana mpagaji na landlord?Kuna appartment za vyumba viwili Changanyikeni. Kodi laki sita kwa mwezi... plus na hela ya udalali...
ipo moja tabata Ila haina uzio mkuu itakufaaa TABATA KIMANGANahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio....
Maeneo isiwe uswahilini iwe karibu na mwenge, sinza, ubungo, mbezi, kimara, Mikocheni, kinondoni, morroco, mbezi beach..... Kama ni apartment iwe na parking ya kutosha.
Bajeti kuanzia 1 Tsh up to 600,000/= Tshs.
Natafuta nyumba ya vyumba viwili sebule dining na choo. iwe na fence na parking. Bajeti 150000ipo moja tabata Ila haina uzio mkuu itakufaaa TABATA KIMANGA
maeneo ya tabata yana kufaha?Natafuta nyumba ya vyumba viwili sebule dining na choo. iwe na fence na parking. Bajeti 150000
Hata Tabata ni ngumu, vivgezo vingi alafu bei ndogo huyo akachek kule Lushoto milimani hata pale mjini hapatim
maeneo ya tabata yana kufaha?
Hapana mkuu bado sijajaaliwa kujenga yangu.Umevunjiwa msimbazi?
Please inbox/pm your number.Ubungo nyuma ha mic hotel 3 bedrooms Ila parking in ya gari mdogo tu. kodi laki tano mwaka.
Plus na hela ya udalali unamaanisha nini? Nimeona pia tangazo lako is that the same house? Changanyikeni ipi?Kuna appartment za vyumba viwili Changanyikeni. Kodi laki sita kwa mwezi... plus na hela ya udalali...
Poa mkuu...Mkuu nichek kwa 0713415537 Nyumba zipo mwenge na Mbezi kuanzia tangia bovu, wewe tu nikuchakua unapanda ipi
Nitakucheki mkuu natumai una picha zake. Kwa urahisi wa kuchaguaHapa mjini huwezi kupanga bila dalali hata uende kwa mwenyenyumba atakwambia rudi uje na dalali! 0755957515 nyumba sinza zipo dizain unayotaka nichek
In case umekosa kabisa,nicheki japo ipo tabata,karibuNitakucheki mkuu natumai una picha zake. Kwa urahisi wa kuchagua
Poa Poa, ukiwa na mda njoo uchek, nipo mwengePoa mkuu...