Nyumba ya kununua inahitajika.

Nyumba ya kununua inahitajika.

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Kwa mlioko dar es salaam, bukoba mjini , dodoma, mbeya. Kuna Mtanzania mzalendo anatafuta nyumba ya kununua kwa ajili ya kuishi.

Inaweza kuwa inakaribia kuisha kujengwa au ipo kamili



Dau : lisizidi 50M.
 
Njoo mbeya uyole kata ya isyesye kwa mtawa nyuma ya soko la kwa mtawa ni nyumba ya mstaafu amerudi mashambani.Zaidi njoo pm
 
Kwa Dodoma M50 labda nje kabisavya mji mkuu.mjini Kati Kama majengo BAHIROAD kiwanja M 80
 
Kwa mlioko dar es salaam, bukoba mjini , dodoma, mbeya. Kuna Mtanzania mzalendo anatafuta nyumba ya kununua kwa ajili ya kuishi.

Inaweza kuwa inakaribia kuisha kujengwa au ipo kamili



Dau : lisizidi 50M.
Mkuu kuna nyumba inauzwa kigamboni mill 10 na mahakama Kama ipo hiyo pesa njoo fasta pm
 
Kwa mlioko dar es salaam, bukoba mjini , dodoma, mbeya. Kuna Mtanzania mzalendo anatafuta nyumba ya kununua kwa ajili ya kuishi.

Inaweza kuwa inakaribia kuisha kujengwa au ipo kamili



Dau : lisizidi 50M.
Hivi unaiona M50 unaweza kununua nyumba nzuri? We ichukue hiyo pesa jenga nyumba hata ya vyumba 3 uone kama hautaishia kupaua tu.
 
Back
Top Bottom