donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
daaah we acha tu mkuu!Asante,hv humu duniani kuna binadamu wanaish kama hawatakufa vle!
tutangoja sanaWenzetu huamini daima hakuna kufa,pa1 na vijisenti vyetu lakini hapo bado hatujifika mmh!
Humu duniani kuna watu na binadamu..
mwenyewe anakwambia, 'living life like there is no tomorrow'utakuta anaishi na mwanae tu, kuna vyumba anaweza akawa hajaingia toka mwaka 2012
hahahah mkuu tuko wote kweny kysindikizaHivi mie naishi au nasindikiza wenzangu?
hahaha acha mkuuHata Ikulu ya Samwel Luhanga haipo hivyo..
mkuu mimi mwenyewe mambo yang hayokwa sisi watu wa NBA ukisema birdman tunajua huyu....
Hata Ikulu ya Samwel Luhanga haipo hivyo..
Hivi mie naishi au nasindikiza wenzangu?