Nyumba ya bei rahisi

Ulitakiwa kusema nyumba rahisi kutengeneza, sio ya bei rahisi. simple house not cheap house
ili iwe bei rahisi kama unavyotaka wewe labda utumie mbao reject, na ujiandae kuishi na mchwa.

kwa taarifa yako nyumba kama hiyo inatengenezwa na mbao maalum, zilizoandaliwa vizuri na kuwa treated, kisha baada ya nyumba kutengezezwa, inatakiwa polish ya kuileweka kwaajili ya kuilinda mabao kutokana na maji na joto kali. bado kufanya ndani kuwa water proof na mambo mengine mengi, ukipiga hesabu yake na nyumba ya vyumba viwili mtaani kwa matofali yetu haya ya biscuit ndani unapiga chokaa mfuko mmoja wa sh 8000, hauitaji silingi bodi wala plaster nje.
 
Umemaliza mkuu
 
Usiombe ivamiwe na mchwa tu...
 
Pamoja na yote hayo ni relatively cheap....haizidi 20M hiyo mkuu
 
Mimi yangu ni simple tu, lakini...
 

Attachments

  • Adzo-1.jpg
    187.6 KB · Views: 110
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…