Nyumba viwanja

Nyumba viwanja

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
654
Salaam waungwana humu ndani Mabibi na Mabwana Nawaletea

1. Kiwanja ukubwa 20x20 maeneo ya king'azi Kinyerezi dar es salaam kinauzwa bei yake milioni 6.

2. Vingine vya kukata kata 15x15 au 10x20 bei maelewano

vipo njia ya kuunganisha pugu na mbezi kupitia kifuru IPO kwenye utaratibu Wa kupigwa lami.

Pia Kwa mahitaji ya nyumba za kupanga apartment na nyumba za office maeneo ya Mwenge sinza kijitonyama mbezi mikocheni Victoria utapata

Kwa mawasiliano
 
Hapana havijapimwa ndio maana bei yake chee
 
Nawashangaa sana wanaokubali kununua 20 x 20.. Ni ardhi ndogo sana
 
Sasa utakuta vyengine vinabanana hata sehemu ya parking ni shida.. Tena usiombe ukutane na wale wazee wa hatua..
Inategemea na mazingira,kama yako vizuri unachukua tu;Jaribu kuangalia ukubwa wa viwanja kwa hotel zilizojengwa hapo ubungo
 
Hiki Kiwanja hakipimwi Kwa hatua tunajua ukipima Kwa hatua unampunja mnunuzi zinapimwa Kwa mita kama mita kifaa cha kupimia kipo.
 
Habari
Nauza kiwanja chenye hati Kigamboni - Changani beach
Size - Sqm 900+
Bei - 9 Milioni
Mawasiliano - 0753066664
 
Nyumba nzima ipo hapa Mwenge ndani ya geti bei yake laki5
 
Karibuni mawasiliano 0658183618
 
Back
Top Bottom