AMAFUMU JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 221 Reaction score 114 Mar 26, 2014 #1 unaweza kutamani nyumba nzuri lakini unaona huna hela ya kujengea usijali tupo kwa ajiri yako wewe mwenye ndoto za kumiliki nyumba nzuri kwa gharama nafuu tutakupa ushauri, na kufanikisha ndoto zako Attachments ACCamera_1.jpg 222.8 KB · Views: 272 ACCamera_2.jpg 548.3 KB · Views: 255 ACCamera_4.jpg 139.2 KB · Views: 246
unaweza kutamani nyumba nzuri lakini unaona huna hela ya kujengea usijali tupo kwa ajiri yako wewe mwenye ndoto za kumiliki nyumba nzuri kwa gharama nafuu tutakupa ushauri, na kufanikisha ndoto zako
F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Mar 26, 2014 #2 m nataman lkn sioni anuani ya kuweza kuwapata
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,727 Reaction score 5,292 Mar 26, 2014 #3 Nyumba nzuri, lakini Jukwaa uliloleta sidhani kama ni sahihi. Huku watu wana stress na ajira afu unamwambia habari ya kumiliki nyumba.
Nyumba nzuri, lakini Jukwaa uliloleta sidhani kama ni sahihi. Huku watu wana stress na ajira afu unamwambia habari ya kumiliki nyumba.
AMAFUMU JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 221 Reaction score 114 Mar 26, 2014 Thread starter #4 Ahaaaa sorry sikujua unajua nilitumia simu ngoja nitoe then nipeleke kule