Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,285
Nyumba muundo wa kisasa inapangishwa ndani ya Manispaa ya dodoma, Area D nyuma ya Shule ya Msingi Ipagala,Maeneo hayo ni karibu na Flamingo au Matei Lounge karibu na kwa MOSHA SHOP
BEI NI SHILINGI 350,000/ kwa mwezi na inatakiwa miezi 6 angalai
BEI NI SHILINGI 350,000/ kwa mwezi na inatakiwa miezi 6 angalai
- Nyumba ina Masterbedroom 2 (kila chumba kina choo chake na bafu mumo kwa humo)
- kuna vyumba vingine viwili ambavyo vinatumia choo cha pamoja,
- kunasebule kubwa,
- kuna chumba cha chakula (Dinning)
- kuna jiko
- kuna stoo
- na nje kuna maegesho ya gari
- nje kuna nyumba ya msaidizi (servant corte)
- kuna uzio mkubwa
- kuna milango (gate 2 la gari na dogo la kawaida