House4Sale Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa IPO tegeta masaiti

Pastor steven mdoe

Senior Member
Jan 13, 2016
113
34
Nyumba ina vyumba 3 self IPO ndani ya fance na ukubwa wa Eneo ni 1200sqm
Bei yake 300ml
Kwa Maelezo zaidi tuwadiliane kwa 0756060183
 

Attachments

  • 1467396872361.jpg
    1467396872361.jpg
    71.6 KB · Views: 128
  • 1467396896441.jpg
    1467396896441.jpg
    59.6 KB · Views: 130
  • 1467396913357.jpg
    1467396913357.jpg
    56 KB · Views: 135
  • 1467396938506.jpg
    1467396938506.jpg
    59.6 KB · Views: 122
Bei hipo juu sana.

Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki.
 
Bei hipo juu sana.

Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki.
Hamna bwana mi naishi masite labda kipindi cha nyuma sasa hivi nadhani miundombinu imeboreshwa,usitishike kama una mkwanja kamata mjengo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom