Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

cagu

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
79
Reaction score
12
Nauza nyumba yangu nzuri sana ipo buyuni/Italiani barabara ya pugu kwenda chanika. Mitaa imepangika na kiwanja kimepimwa.Nyumba no: ni Block 1 plot no 7 mtaa wa Kigezi Buyuni Wilaya ya Ilala.
Nyumba ni kubwa na ni 2 kwenye kiwanja kimoja. Nyumba kubwa ina vyumba vinne vya kulala kimoja master kina AC na Jakuzi(very comfortable) na kila chumba cha kulala kina kabati la nguo kama inavyoonekana kwenye picha.Sebule ni kubwa na kuna AC. nyumba yote ina gypsum kama unavyoona kwenye picha na tiles ya kioo. Ina jiko zuri, dinning, stoo na choo na bafu public. Nyumba ya pili ndogo ina chumba master, sebule na jiko, kuna choo cha nje na banda la kufugia kuku.Ukubwa wa eneo lote ni nusu heka. Ina kisima cha maji na tank lake, umeme upo ni four phase, unaamua tu kutumia kadiri upendavyo.
Bei ni Tshs 400,000,000/- Milioni mia nne.Maongezi yapo. Tuma PM kwa serious buyer au nipigie 0655441943/0620496151
Naomba atakaye kuwa interested kununua Whatsapp hapa naona hazifiti zote please.
 
Attachments

  • IMG-20170810-WA0001.jpg
    IMG-20170810-WA0001.jpg
    54.6 KB · Views: 184
  • IMG-20170810-WA0002.jpg
    IMG-20170810-WA0002.jpg
    63.9 KB · Views: 141
  • IMG-20170810-WA0005.jpg
    IMG-20170810-WA0005.jpg
    46.9 KB · Views: 183
  • IMG-20170810-WA0004.jpg
    IMG-20170810-WA0004.jpg
    52.4 KB · Views: 187
  • IMG-20170810-WA0006.jpg
    IMG-20170810-WA0006.jpg
    53.5 KB · Views: 186
  • IMG-20170810-WA0015.jpg
    IMG-20170810-WA0015.jpg
    51.2 KB · Views: 180
  • IMG-20170810-WA0009.jpg
    IMG-20170810-WA0009.jpg
    34 KB · Views: 190
  • IMG-20170810-WA0011.jpg
    IMG-20170810-WA0011.jpg
    29.7 KB · Views: 168
  • IMG-20170810-WA0014.jpg
    IMG-20170810-WA0014.jpg
    26.5 KB · Views: 172
  • IMG-20170810-WA0010.jpg
    IMG-20170810-WA0010.jpg
    25.1 KB · Views: 156
  • IMG-20170810-WA0008.jpg
    IMG-20170810-WA0008.jpg
    29.7 KB · Views: 171
  • IMG-20170810-WA0012.jpg
    IMG-20170810-WA0012.jpg
    54.6 KB · Views: 169
  • IMG-20170810-WA0013.jpg
    IMG-20170810-WA0013.jpg
    49.7 KB · Views: 146
  • IMG-20170810-WA0007.jpg
    IMG-20170810-WA0007.jpg
    24.1 KB · Views: 168
  • IMG-20170810-WA0017.jpg
    IMG-20170810-WA0017.jpg
    27.4 KB · Views: 149
  • IMG-20170810-WA0016.jpg
    IMG-20170810-WA0016.jpg
    16.1 KB · Views: 168
tatizo la kununua nyumba aliyokuwa anaishi mtu, ni mazindiko, haujui alizindikaje, unaingia ndani yaanze kukusumbua. kuwa open kwenye kila kitu mkuu. maeneo yenyewe ni ilala, haujaletaga mashehe hapo wasome dua kweli?
 
Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba
 
Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba
sasa unauza nyumba ukapange, we una akili kweli? Kama asset uliyonayo ndo iyo tu, mi nilijua una nyumba sehemu ingine, au unataka ukajenge ndogo huko mbagala? OK, nakutakia yote mema.
 
Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba
Mkuu kimfaacho mtu chake,ila katika hili naomba uangalie alternative kaka yangu.kama issue ni hela ya biashara kwa nini usikope bank kwa kuweka bondi hiyo nyumba.naona kama kuiuza na biashara katika awamu hii ni ngumu kuiuza imegoma kuingia vizuri kichwani mwangu

Sent from my TV
 
ahsante,ila make sure nyumba yako ina hati ya umeme(yaani imefanyiwa uchunguzi na haina matatizo ya wiring) na pia uwe na hati kuhusu mfumo wa maji ndani ya nyumba hiyo (means iwe umejaribiwa na una kiwango kinachokubalika kutegemeana na sheria za manisipaa),good luck
 
Samahani hati ya mfumo wa maji ikoje

Sent from my TV
 
Samahani hati ya mfumo wa maji ikoje

Sent from my TV
kisheria unapataka kuuza nyumba yako,hati hii ni mojawapo unatakiwa muuzaji uwe nayo ,ili mnunuzi aelewe kuwa nyumba ile ina water system inayofanya kazi,yaani mabomba na viffa vyake vinakidhi viwango vilivyowekwa kisheria,swimming pool kama ipo je umejengwa na kutunzwa inavyotakiwa,hizi hati mara nyingi zinatolewa na makampuni ambayo munisipaa imeingia nazo mikataba ya kufanya ukaguzi huu na kutoa hati,usually hizi hati zina muda maalum wa kuwa valid lets say 2yrs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom