Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake wengine sijui wakoje bana.
Mh huyo ni zaidi ya nyumba ndogo
Wajanja wanakusaidia pole aisee
Nimemkataza asipokee simu zako wala asijibu meseji zako mpaka mwaka upinduke.ukirudi bongo nitakurudishia mkeo hahaha
Nalog off
dah....kuwa m'mbadala mbaya eeh.........
vyoooohooooooo!!!!unadhani sifa?!!!
ungemuacha mkeo uende na huyo nyumba ndogo!!
Hajui una mke na watoto?...kwanza kwanini humheshimu mkeo?!
Kwanini mkuu
Hahaha hahaha hahaha, duuuuuuuu nibakishie aisee
Anajuwa kabisaaaaaaaaaaa,