Nyumba nauza nyumba

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,803
Reaction score
179
View attachment FLOOR_PLAN[1].pdfWakuu,
Nikiwa ni mdau hapa jamvini, napenda kuwatangazia kuwa nauza moja ya nyumba zangu ambayo nimeijenga eneo la Kinyamwezi-Chanika kama ifuatavyo:-
1. Ina 2-bedrooms,
2. Ina 1-master bedroom,
3. Ina dinning,
4. Ina kitchen,
5. Ina stoo ndogo,
6. Ina veranda 2 i.e (ya mbele na uwani),
7. Ina eneo la fence/frames kwani kuna barabara ya mtaa yapita,
8. Gari zafikika.
9. Umeme (nguzo tayari zimetandazwa)
10. Bado sijakipima waila baadhi ya majirani wameshapimiwa na offer tayari.

CONDITIONS:
a) Haijaezekwa bado,
b) Imejengwa kwa viwango vyote tangu msingi mpaka rinta (msingi na rinta nondo zake ni za kusukwa),

REASON TO SALE:
Ukata, hali mbaya kiuchumi, kushindwa kuimalizia.

Bei ni Tsh: 30Mil.



Kwa mawasiliano nami mwenye mali ni:-
0715-988888
0779-333334
 

Attachments

Kiwanja kina ukubwa gani?
Vyumba vina ukubwa gani?
Eneo lililojengwa lina ukubwa gani?
 
Mkuu,
Usiseme pagale, chonde 'thubutu' kujenga na kisha ulinganishe na 'pagale' ndipo maana halisi utaipata.

Pagale si tusi ndugu.......ni nyumba iliyofikia stage uliyofikia i.e haijaezekwa
 
Nini maana ya nyumba?

Mkuu hiyo bado haijaitwa nyumba!

Infact hapo ulipoishia kwa maana ya ujenzi haijafikia hata nusu ya gharama kamili ya ujenzi.....
 
Kwa bei hiyo mkuu na nyumba yako haijafika hata nusu ya gharama za nyumba bado parefu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…