Nyumba na chumba inapangishwa maeneo ya survei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba na chumba inapangishwa maeneo ya survei

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dadio, Sep 3, 2012.

 1. Dadio

  Dadio JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 360
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kuna chumba kimoja self contained maeneo ya surve,i dk kama 4 hivi toka mlimani city, pia kuna nyumba ya vyumba viwili sebule, jiko na toilet maeneo hayo ya savei. Kwa upande wa nyumba bei ni shilingi 250,000/= kwa mwezi na unaweza lipa kwa mwaka au miezi sita, hakuna dalali kwa nyumba zote mbili. Chumba ni shiling elfu 80 kwa kila mwezi na unalipa kwa mwaka. Atakayechkua nyumba anatakiwa kunipa angalau wik mbili nimfanyie marekebisho madogo. Kwa upande wa chumba kipo . Karibuni. 0755063076
   
 2. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  maji, umeme inakuwaje? vipi available? maana nasikia eneo la survey lina shida sana ya maji!!
   
 3. C

  CHIJANYE JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Nyumba ingekuwa laki na nusu nigechukua hiyo
   
 4. G

  Ginner JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  kwa miezi sita chumba huchukui..
   
Loading...