mlimbwende
Member
- Jul 15, 2011
- 74
- 26
Nyumba mpya ya kuvutia inapangishwa Ukonga Banana: iko km mbili kutokaairport
Mwendo wa dakika tano kwenda kituo cha mabasi banana: Ina vitu vifuatavyo
-Master bed room-1
-Extensive Sitting room (with six angles view)
-Dining Room
-Kitchen
-Vyumba vya kulala vikubwa-3
-Store
-Public Toilet
-Fence
-Maji masaa 24
-Umeme wa LUKU
-nyumba imeezekwa kwa tiles za kisasa kutoka Afirca ya kusini na gypsum
-Ina tiles za sakafuni nyumba nzima
-full furnished nikimaanisha kila chumba kina kitanda/vitanda, sitting roomkuna sofa mpya za kisasa, mashine ya kufulia nguo, jikoni kuna makabati yaukutani na friji, kuna machine za mazoezi
-Nyuma kuna nyumba ya nje yenye bafu, choo na chumba kizuri
-uwanja mkubwa unaweza hata kupaki magari 12 bila wasiwasi nyuma na 6 mbele
Kodi: shillingi milioni moja kwa mwezi, kodi ya miezi 6 inapokelewakaribuni. Sijaweka picha sababu sitaki madalali. Yule anaehitaji ani pm nimleteaiangalie