Nyumba mpya inauzwa Arusha

Nyumba mpya inauzwa Arusha

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,683
Reaction score
12,447
Ipo sombetini,ina vyumba 12,inafaa sana kwa kupangisha.Maji na umeme tayari.
Inafaa kwa kupangisha.Bei tsh 58,000,000/=.Mazungumzo yapo.Dalali hahitajiwi. simu 0757541456
 

Attachments

  • Arusha-20140109-00441.jpg
    Arusha-20140109-00441.jpg
    479.2 KB · Views: 401
  • Arusha-20140109-00439.jpg
    Arusha-20140109-00439.jpg
    542.7 KB · Views: 380
Hembu tuambie,imo kwenye eneo la square meter ngapi?
Ili kujua hivyo 12 rooms vimewekwa kwenyeukubwa upi
Halafu tuambei mfumo wa vyumba upoje,na wastan wa ukubwa wa chumba
 
Mtu kuuza chake lazima akupe na sababu mkuu?!!
Mtu akiniuliza hivi mimi huwa najibu, "UNATAKA NIGAWE BURE?"

Mara nyingi hizi nyumba zinauzwa sababu ya migogoro ya kifamilia, ukinunua huko baadaye inaleta shida.
 
Mara nyingi hizi nyumba zinauzwa sababu ya migogoro ya kifamilia, ukinunua huko baadaye inaleta shida.

Sidhani kama mtu anaweza kusema kwamba anauza kwa sababu nyumba ina mgogoro! Muhimu ni kwa mnunuzi kuchukua precaution zote na kujiridhisha uhalali wa mauzo hayo, bila kusahau kuuziana kisheria na mikataba yote.
 
dah matajiri wanakuja usijali utapata mteja
 
Nyumba hii badi haijauzwa,kutokana na kushindwa bei.Hivyo bei imerekebishwa hadi 58,000,000/.
Karibuni wateja
 
Msalani umejibiwa sahihi,Nyumba inauzwa kwakuwa nahama kikazi.Na hakuna Mgogoro wowote.
Mkuu kuhama kikazi kunazuia vipi kuwa na rasilimali ya kudumu kama hiyo? Mbona kuna watu wengi tu nchi hii wanamiliki nyumba mikoa tofauti tofauti.....Sidhani kama huko unakohamia ndiyo itakuwa sehemu ya mwisho kuhamishwa/kuhama kikazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom