Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
Nakushauri uongeze picha zingine ili kuvutia wanunuzi. Wanunuaji watataka kujua muonekano wa karibu na ndani kukoje. Hiyo picha umepiga kama unaogopa kusogelea karibu na hiyo nyumba. Pia ungetaja singida mjini sehemu gani.Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining, jiko na stoo, public washrooms na kiwanja kimepandwa migomba na miti mbalimbali.
Bei 48mil kamili, 0754 459 572
Aliekudanganya kwamba wewe kwenye Picha unavutia kakudanganya,
AhahahaAliekudanganya kwamba wewe kwenye Picha unavutia kakudanganya,
Watu walitaka kuona picha ya Nyumba wewe umeweka ya kwako ili iweje??
Au nawe umo kwenye hiyo 48mil mnauzwa pamoja na Nyumba??
Hii nyumba siyo ya kwake, kwa maana hiyo hataweza kuleta picha za ndani na ndiyo maana ammepiga picha mbali tena porini ili wasimuone wenye nyumbaAliekudanganya kwamba wewe kwenye Picha unavutia kakudanganya,
Watu walitaka kuona picha ya Nyumba wewe umeweka ya kwako ili iweje??
Au nawe umo kwenye hiyo 48mil mnauzwa pamoja na Nyumba??
Anhaa,Hii nyumba siyo ya kwake, kwa maana hiyo hataweza kuleta picha za ndani na ndiyo maana ammepiga picha mbali tena porini ili wasimuone wenye nyumba
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Aliekudanganya kwamba wewe kwenye Picha unavutia kakudanganya,
Watu walitaka kuona picha ya Nyumba wewe umeweka ya kwako ili iweje??
Au nawe umo kwenye hiyo 48mil mnauzwa pamoja na Nyumba??
Tapeli masikini wewe, unajaribu kuuza nyumba ya watu! Nyumba haionekani, au unauza paa la nyumba ya mtu? Bambasket!Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining, jiko na stoo, public washrooms na kiwanja kimepandwa migomba na miti mbalimbali.
Bei 48mil kamili, 0754 459 572