Nyumba isiyomaliziwa inauzwa

silvaman

New Member
Oct 23, 2011
4
1
NYUMBA ISIYOMALIZIWA AMBAYO IMEJENGWA KOZI NNE IKIWA NA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA, SEBULE KUBWA NA STORE.IPO VISIGA MADAFU KIBAHA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD,ENEO LAKE ROBO HEKA LINA HATI YA UMILIKI ,BEi 4ml PIGA 0653987291
 
Nyoosha maelezo Mkuu. Hiyo nyumba eneo lake robo kilometa (KM)? Au robo acre?

Kiwanja kina hadhi gani? Kimepimwa? Kina barua ya toleo? Au kina hati?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom