Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

zandar

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Ipo majohe ina vyumba2 sebule ina masta wayrng tayali mpy bado pg no 0685953094 kwamaelezo zaid.
 
umeshaambiwa ipo majohe, wewe unakimbilia kuuliza iko wapi, soma uzi wote uuelewe mkuu.
 
Kiwanja kimepimwa? Kwa maana ya kwamba hati miliki ipo?
Afu nyumba ya vyumba viwili kwanini iko uzwa TZS 25M tena majohe?
 
Maongez yapo nyumba ya kisasa ndug ngoja 2wekpcha utakubali hati hazja toka hila wamepma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom