Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 377
- 739
Geita Manispaa kata ya Buhalahala Mtaa wa MwatuloleGeita ni kubwa!
Bei ni 100 MTaja bei ya kianzio huenda mteja akapatikana
Hivi kuna mtu kabisa anaweza kwenda Geita kununua nyumba milioni 100? Mie hapo Dar tu sijui kinyerezi, vingunguti, temeke, mbagala hadi huko kijichi siwezi weka milioni 100 eti kwa nyumba. Lakini watu tunatofautiana, ngoja waje wanaotaka kuishi Geita.Bei ni 100 M
kanunue tu ndizi uleNina Laki moja, niuzie
Bil 4Umesahau kuweka bei
Hapana bana hiyo ya kwakoBil 4