Nyumba inauzwa

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
447
Nyumba inauzwa ipo temeke yombo,ina vyumba vitatu vya kulala ,siiting room,dinning choo cha ndani ,choo cha nje,fensi,sintank ya maji bomba la maji bei milioni 45 maelewano yapo,mawailiano 0788010077 or 0713984545
 
Temeke Yombo??? Jirani na White Rose? Kuna vibaka huko usisikie......
Ukiinunua hiyo nyumba uikatie kabisa na burgary insurance
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom