Nyumba inauzwa

Naona unaandika bkwa kinyooonge,kama mwema vile....halafu Kwa heshima na taadhia ukamalizia na bonge la kitisho....
Hahahah we ni tapeli tu.
Ushawahi ona wapi mamlaka husika za ardhi wakapima kiwanja Kwa miguu..!?
Eti hati haijatoka,,,,itatoka Kwa nani wakati hata kupima mamlaka husika hazijafika (maana tunafahamu wakifika hawatumii miguu kupima)...
So tunaposema wewe ni tapeli tunakua Tushaona viashiria hivyo...
Umeniahidi utanifanya utakachonifanya...binafsi nakukaribisha Mr Tapeli...
 
Jf jina lingine inaitwa "home of the great thinkers"
Sasa huyu Mr jambazi aka tapeli yawezekana hata maana yake hajui..ndio maana anakuja na ujinga wa nanjilinji.
Asshole
sisi wa nanjilinji siyo wajinga hivyo ila ni vizuri kuwa makini.
 
porojo nimepiga wapi ndugu au una tatizo gani na post yangu?
Nimeitwa tapeli, jambazi, mwizi kisa nimeweka tangazo la kuuza nyumba humu

Nyumba wala si yangu na nimeambiwa na mwenyewe kashapa mteja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…