Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 845
Ipo tabata
Ni nyumba mpya ya kisasa
Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master
Bei mil 75 mazungumzo yapo
Kwa aliye serious anichek pm kwa maelezo zaidi
Kweli kabisawanunuzi hii si yakukosa jaman bei nzuri kabisa tena kasema mazungumzo yapo.
Mkuu ni tabata baracuda, maealezo ni mengi ndomana nikasema kwa aliye serious tuwasilianemkuu ungefafanua kidogo ni tabata ipi na uwanja(plot) una ukubwa gan
Ndio kimepimwaKiwanja kimepimwaa?
Naona umefukua kaburi mkuu.

Akirudi naomba unitag
Hujielewi, haihusiani na hiyo nyumba inayouzwa
Usiwe mpuuzi, hapo imeandikwa nyumba sio gari wala beseniUnauza na vyombo, hadi hiyo gari na besini bei ndiyo Tshs: 75 milioni![]()
![]()
Tumia akili, hiyo post ya mwaka gani na hiyo nyumba ya mwaka ganiNaona umefukua kaburi mkuu.
Huoni kama hiyo nyumba ni mpya? Na mtu akitaka kununua si anafika nyumba ilipo anaiona?Akirudi naomba unitag
Mkuu hii nyumba ni mpya? Coz nijuavyo mm, kitu kipya kinakuwa hakijawahi kutumika..Huoni kama hiyo nyumba ni mpya? Na mtu akitaka kununua si anafika nyumba ilipo anaiona?
Huo uchoko unaoleta ww
Nyumba iliyojengwa mwaka 2000 alafu haijawahi kutumika na nyumba iliyojengwa mwaka 2017 mwishoni ila mwenyewe anakaa ipi mpya?Mkuu hii nyumba ni mpya? Coz nijuavyo mm, kitu kipya kinakuwa hakijawahi kutumika..
Usiwe kama shoga, hakuna mahali niliposema hii nyumba ni yangu
Kwanini umekasirika sasa?au ni kweli kuna kumeo pande hizo?Tumia akili, hiyo post ya mwaka gani na hiyo nyumba ya mwaka gani
Sio lazima kila post lazima ucomment
Mbona una majibu mabovu namna hii?Usiwe mpuuzi, hapo imeandikwa nyumba sio gari wala beseni