Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Ndugu ushauri wangu kwa hali ya nchi ilivyo na inavyozidi kuendelea kuwa mshauri muuzaji kwa hao wenye 100-120M akomae awape faster maana ikifika mwakani tu kwenye January hata huyo wa kumpa 100M anaweza kukosa
Asante kwa ushauri ila hiyo 150M ni reasonable kabisa
 
Nyumba iko vzr ndani,finishing ni kwenye fensi tu mkuu,na bei iko resoanable kwani viwanja bunju kwa sasa havishikiki.Tena kiwanja kikubwa sana na mazingira mazuri na pia kimepimwa.Ata mwenye kuuza anauzia shida tu
Kama iko vizuri ndani weka picha tuone. Picha za ndani. Baraza inaonekana kabisa finishing labda sakafu ya kawaida au bado rough. Pili tofali za aina hiyo kweli Nyumba 150m? Ukweli utasubiri sana mkuu. Pesa imekimbia na watu wanaishi kimachale sana kwa sasa hasa wale waliokuwa wanaishi kama wafalme.
 
Nyumba inauzwa bunju A.Ina vyumba 4 umbali kutoka barabarani ni km moja na nusu.Bei ni 150M.Karibuni sana 0756224239
Nyumba bado ipo na BEI INAPUNGUA KUTOKANA NA MZUNGUKO WA HELA ULIVYOKUWA KWA SASA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom