Nyumba inauzwa Ununio Beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa Ununio Beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ICHONDI, Oct 27, 2011.

 1. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nyumba ya kisasa inauzwa. Eneo la kiwanja ni ekari moja. Ina fence vyumba vinne na nyumba ya uwani vyumba viwili jiko , sebule na choo(unfinished)
  Main house Ina sqm 320. Wasiliana na 0754310086. Dalali hatakiwi. Bei ni dola za kimarekani 350,000. Maongezi yapo
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo ununio si mlikatazwa kujenga?kuna umbali gani kutoka baharini?mkuu usiwaingize watu mkenge kupitia jf.ununio walishaambiwa wahame ambao wamejenga kwenye hifadhi ya bahari.mia
   
 3. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hili jukwaa ni jukwaa la heshima. Mimi sio mpumbavu kuweka tangazo la kijinga hapa. Kabla ya kutoa comment yako ya kijingai ulipashwa kujua mambo kadhaa. Ununio ni kiijiji kikubwa kimejengwa kuliko masaki. Wewe hata Ununio huijui. Please if you have nothing important to say keep your mouth shut! Thank you
  Nyumba ipo umbali wa karibu robo kilomita toka beach ni about 10 minutes walk to the beach
   
 4. R

  Reasoning Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matusi yako badala ya kujibu maswali muhimu yanatupa wasiwasi-hoja ujibiwa kwa hoja si matusi.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dola laki tatu na nusu = ni zaidi ya milioni mia sita!!!

  hivi dolalization bado haijazuiwa tu
   
 6. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nimejibu maswali yote aliyouliza. Umbali toka Ununio beach nimeeleza. Ungesoma vizuri Ungejua nimejibu. Aliyetoa hoja aliconlude kuwa Eneo limezuiwa kujengwa bila kujua ukweli. So alipashwa kupewa majibu ya ukali kwa sababu conlusion yake inavunja Moyo serious buyers. I think ni vyema kuheshimiana humu jukwaani. Mimi sio dalali, so kuona michango Kama hii kunavunja Moyo sana Kama kweli hili ni jukwaa lenye kusaidia. The same post imewekwa michuzi blog and comments are good. Huku tunasaga tu na wengi wanaosaga ni wabeba mabox hawajui hata Ununio iko wapiti q
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  do i need to say more

  thanks
   
 8. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nimependa comment hiyo.....Mtazamo wangu, JF si kijiwe cha mafisadi ndugu yangu ambao wanaweza nunua nyumba za bei hizo....
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  weka picha tuone...
   
 10. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Tatizo definition ya ufisadi imepotoshwa kwa kudhani kuwa kila mwenye hela basi ni fisadi hata kama amezipata kihalali. Hapa ni sehemu ya matangazo wapo wengi wanaopitia hapa kutafuta haja mbalimbali. Kama wewe hutafuti nyumba kwa sasa huna haja ya kupost negatives. Waache wenye kuhitaji na kama ni mafisadi haya Kama wasafi hayaaaa
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Umeambiwa weka picha watu waone kama unastahili hilo gunia la dollars!! usije ukatuuzia mbuzi kwenye gunia.
   
 12. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Are you a serious buyer? This is big issue Ndugu sio issue ya kuuziana mbuzi kwenye gunia. If interested call the number and arrange a viewing. Picha zaweza kupigwa kukuvutia tu tofauti na hali yenyewe. I just need to deal with a serious buyer bro. Thanks
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Dunia nzima, realtors ambao wako serious wanaweka picha ya properties wanazoziuza then interested buyers wanaangalia na kum-contact muuzaji/agent. hii inasave time ya pande zote, kuliko kuanza kutafutana kwenye simu. Network yenyewe saa nyingine iko down. A picture speaks a thousand words.
   
 14. R

  Reasoning Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora umeongeza sauti yako kumweleza. Anarudirudia neo serious buyer wakati yeye mwenyewe si serious seller. Anafikiri wanunuzi wote wako dar au Tanzania kiasi cha kumpigia na kutembelea site katika hatua hii ya wali. Fikiria ni nyumba ngapi zinatangazwa kuuzwa katika forums mbalimbali na hao unawadhani kuwa ni serious buyers watatembelea nyumba ngapi. Nakushauri kwa nia njema ndugu yangu ukitaka mafanikio ya maisha punguza ujuaji,sikiliza zaidi kuliko kuongea-angalia mambo nje ya box. All the best

   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ushauri muruwa huu, kama ana akili na sio dalali ataufuata!!
   
 16. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Akili ninazo, mimi so dalali bali ni "owner", and i chose kutokuufuata ushauri huu. Nadhani kama una akili utajua ninaongea nini
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  we mwenyewe dalali
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Kaka usiwe mkali ,jamaa alikuwa anatoa maoni kwa jinsi anavyojua,yeye sio malaika kiasi kwamba angejua nyumba yako iko umbali wa robo kilomita ,tatizo huenda tangazo lako ,ulitakiwa kueleza hayo uliyosema kuwa iko karibu robo kila mtu kutoka bahari,jamaa katoa tahadhali tu ,ambacho ni kitu kizuri kwa yoyote hata ungekuwa wewe hakuna mtu anayependa apoteze hela ,mambo haya ya kuuziwa sehemu ambazo haziruhusiwi yapo na sio kuwa hao wanaofanya hivyo ni wajinga ni watu na heshima zao ,au unaona jamaa anakuharibia biashara sidhani kama alikuwa na hilo lengo sababu hakujui nawe humjui
   
 19. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbn una hasira sana? Biashara haitaki hasira hata kidogo hao unaowaona sio serious buyers ndio buyers wenyewe mtu anayetaka kununua kitu kwako lazima akuchallange nimeshawahi kuuza gari yangu aina ya prado humu humu jf walikuwa wananiita mimi ni dalali but at the end of the day yule niliyemuuzia alikubali ile gari ilikuwa ni yangu baada ya kumkabidhi kadi ya gari yenye jina langu,sasa wewe unakuwa mkali huku unataka hao hao wanunue hiyo nyumba yako, mkuu biashara huwa haiendi hivyo coz hapa jf watu wana maudhi balaa lakini ndio wanunuzi hao!
   
 20. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante baba uzidishiwe maarifa
   
Loading...