Nyumba inauzwa na Benki ya Selcom

Mwenyewe na familia yake imeridhia? Naamisha mke au wake
 
K Kwa uhalisia wa ujenzi hiyo bei ni ndogo, ploti yenyewe sh. Ngapi hapo. Bei ya kutupwa
 
Ipo mbinguni Je kuna barabara ya kuingia na kutoka kwa gari?
 
uoga wa nini na unaweza kuifanya Air bnb, utengeneze nayo hela.
Sio uoga bali ni tahadhari kutokana na uzoefu
Utafanikiwa kuifanya Air BnB bila shida na utafanikiwa kupiga hela! Lakini nikwambie kitu hiyo pesa hutakaa uifaidi ama izalishe kitu kingine bali itakuwa ni pesa ya kutatua changamoto
Yaani kila ukiitia mkononi kuna changamoto inajitokeza.. Mambo ya kiroho yana mtazamo wake tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…