NYUMBA INAUZWA - MSONGOLA (Dar Es Salaam)

NYUMBA INAUZWA - MSONGOLA (Dar Es Salaam)

Cashmoney ukileta biashara halafu watu wakakuuliza maswali mengi sana jua hukuelezea biashara yako vizuri na ndiyo maana unaulizwa maswali. Sasa wale wanaouliza maswali usiwape majina ya bandia kama ulivyowaita vilaza na nina hakika katika hao ulioita vilaza nami nimo maana nilikuuliza maswali ya msingi na ukanijibu kwa lugha ambayo si nzuri sana. Anyway, watanzania wengi marketing skills zetu ni ndogo sana na tunajifanya mafundi wa maneno ya mitaani!!! Hongera!!

Nimeomba unielekeze hizo ethics za biashara na marketing skills umeshindwa. Mabadiliko huanza na wewe, kama unaona mwenzio amekosea kitu ambacho wewe wajua, muelekeze na si kumbeza ama kumkandia. Kitaaluma ya uuzaji wa nyumba, hilo tangazo langu sijaona kosa lolote, ila ni ulewa mdogo wa hao vilaza wakaa kijiweni kusubiri kengele ya ugali na kujifanya wajuaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom