Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,035
- 127,566
Hujatoa maelezo ya kutosha. Mkoa na wilaya mjini au kijijini.Ina vyumba vinne, sebule, kubwa dining,jiko,stoo,imeezekwa msuoth,,mwenye kuhitaji anichek,
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya zawadi inabidi kwanza wewe uniambie unataka ya aina gani..au unatumia mtandao upi??
Mbona nilikwambia voda bwana na weweAina ya zawadi inabidi kwanza wewe uniambie unataka ya aina gani..au unatumia mtandao upi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo nyumba ipo ndotoni, au mkoa upi mkuu? Au unauza nyumba jina mbona hautoi details za kueleweka? Au Doctor shika umerudi tena kivingine?Ina vyumba vinne, sebule, kubwa dining,jiko,stoo,imeezekwa msuoth,,mwenye kuhitaji anichek,
Sent using Jamii Forums mobile app