Nyumba inauzwa mili 10

Switone

Senior Member
May 9, 2013
120
47
Nyumba nzuri ipo Ukonga mombasa kwa diwani inaizwa mili 10 tuu, inavyumba vitatu kimoja master, ni mpya kabisa.. Tafadhali changamkia 0713980749
 
Mmh! Sio ndiyo za aina hii usiku kucha mnachapwa viboko na vigagula?Mbona bei ndogo hivyo?
 
hiyo 10 M kama bei ya kiwanja tu.......hata kama nyumba imechoka ni ya kupiga chin, bado hakuna hasara

..........!!!!!!! popobawa!!
 
Nyumba nzuri ipo Ukonga mombasa kwa diwani inaizwa mili 10 tuu, inavyumba vitatu kimoja master, ni mpya kabisa.. Tafadhali changamkia 0713980749

Nyumba kweli, hivi wewe ulishawahi kujenga nyumba ukajua galama ya nyumba ama unacheza, hata kama ipo eneo la hifadhi ya barabara huwezi kuuza nyumba kwa 10 M unless iwe ni mfano wa nyumba
 
Mkuu, naona unabishana bei na muuzaji! teh teh....Wewe unachotakiwa ni kuona fursa na kufuatilia kama nyumba hiyo kweli ipo, kama ipo ina matatizo gani, je hayo matatizo unaweza kuya-clear? Unazama mfukoni unalipa. Last year jamaa alipata bahati ya mtende kama hiyo, akanunua nyumba mjini (mkoani) kwa shilingi 20M, wiki mbili baadaye mtu kamfuata anaoffer 100M..!! Cha muhimu ni kufuatilia na kujiridhisha kuwa hautapeliwi. Lakini ebu ngoja kwanza nimuulizie mwenyeji wangu wa daslamu, mpwa wangu Elli , hivi Ukonga Mombasa ndiyo mitaa gani vile?
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaaa Mpwa naona jamaaa anabishana na muuzaji!! Hii kali aiseee, haya Ukonga si ndio iko kule njia panda ya Tanzania na Nchi za Nje? Kule wanakopitishiaga chakula cha kuharibu vijana wetu

Atakua anamshitua apandishe bei
 
Nyumba nzuri ipo Ukonga mombasa kwa diwani inaizwa mili 10 tuu, inavyumba vitatu kimoja master, ni mpya kabisa.. Tafadhali changamkia 0713980749
Tupe picha ya nyumba, tuambie iko mita ngapi toka barabara kuu, tuambie kama inafikika au ni lazima tukalaze gari CCM, tuambie kama kuna huduma muhimu kama maji na umeme!!! Hivyo ndo matangazo yaliyokamilika. Wakuu kuna siku nyumba ilitangazwa JF iliyokuwa Yombo Dovya, tukamwambie mleta habari atupe picha akagoma!!! Hakika kwa kuwa bei ilikuwa poa (50m) nikaona si vibaya nitaweza karabati niweke wapangaji. Nikafunga safari bahati nzuri hata gari sikwenda nayo maana sikuwa nafahamu maeneo hayo (sikuwahi kufika). Nikapanda zangu dala. Haki ya nani nilipofika tu kumbe hata gari haifiki, nyumba ya zamani kupiga chini tu, iko mithili ya mabanda hata ya mbuzi katolika ni nafuu!!! Yaani nilitaka kumpiga ngumu yule dalali!!! Mods mtu akileta tangazo hapa waambie wazingatie masharti, waweke kila kitu sawa.
 
Hahahhaaa Mpwa naona jamaaa anabishana na muuzaji!! Hii kali aiseee, haya Ukonga si ndio iko kule njia panda ya Tanzania na Nchi za Nje? Kule wanakopitishiaga chakula cha kuharibu vijana wetu

Lol, nimekusoma Mkuu, kumbe ni kule jirani na wanakoishi kwa wingi ndugu zangu wakutoka musoma! teh teh
 
Nyumba nzuri ipo Ukonga mombasa kwa diwani inaizwa mili 10 tuu, inavyumba vitatu kimoja master, ni mpya kabisa.. Tafadhali changamkia 0713980749
Picha?
Umbali from main road?
Ukubwa wa Kiwanja?
Maji & Umeme?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom