Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,185
- 27,098
Na unavopenda kucheka sasaahaahhhahh, yaani mie mwenyewe nilicheka kweli.hahahahahaahah
Na unavopenda kucheka sasaahaahhhahh, yaani mie mwenyewe nilicheka kweli.hahahahahaahah
hahahhaah, kweli kabisa hata ukiniona live napenda sana kuchekaNa unavopenda kucheka sasaa
Unaonekana tuhahahhaah, kweli kabisa hata ukiniona live napenda sana kucheka
Mimi hpo sion nyumba. Atakuwa anauza kiwanja. Viwanja vina bei kuzd nyumbamilioni kumi na mbili vipi...bro we unazijua nyumba za milioni 50 au unatania?
UMETISHANiliona tangazo lingine eti 'nyumba inauzwa Kimara, mil. 8 ina vyumba vyakutosha na vyoo kibao ndani, iko vizuri, INA ALAMA YA X LAKINI INAFUTIKA UKITAKA KUIFUTA HIYO X"