kimpe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 911 Reaction score 862 Jul 25, 2013 #1 Ipo mikocheni b kiwanja kimepimwa ni pm kwa taarifa zaidi dalali haitajiki
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Jul 25, 2013 #2 kimpe said: Ipo mikocheni b kiwanja kimepimwa ni pm kwa taarifa zaidi dalali haitajiki Click to expand... hivi biashara ya nyumba bila kuweka picha nini hii sasa? utawashawishi vip raia kununua maana maneno tu ayatoshi,weka picha na bei
kimpe said: Ipo mikocheni b kiwanja kimepimwa ni pm kwa taarifa zaidi dalali haitajiki Click to expand... hivi biashara ya nyumba bila kuweka picha nini hii sasa? utawashawishi vip raia kununua maana maneno tu ayatoshi,weka picha na bei
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Jul 25, 2013 #3 Unga wenyewe hauna siri kiasi hicho!!!! Picha na taarifa muhimu isije ikawa gumashi
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,605 Reaction score 14,537 Jul 25, 2013 #4 kimpe said: Ipo mikocheni b kiwanja kimepimwa ni pm kwa taarifa zaidi dalali haitajiki Click to expand... picha tafadhali isije ikawa kipo karibu na bonde la mpunga, au mtaro wa maji machafu!!
kimpe said: Ipo mikocheni b kiwanja kimepimwa ni pm kwa taarifa zaidi dalali haitajiki Click to expand... picha tafadhali isije ikawa kipo karibu na bonde la mpunga, au mtaro wa maji machafu!!