Nyumba inauzwa kinondoni mkwajuni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa kinondoni mkwajuni!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Makbel, Sep 13, 2012.

 1. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nyumba inauzwa maeneo ya Kinondoni Mkwajuni Jirani na kituo cha Daladala cha Mkwajuni.
  Nyumba ina hati na ina eneo zuri kwa biashara mbali mbali.
  Bei ni Milioni 60 pia maongezi yanakaribishwa.
  Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0787577755 na 0717577755.
  E:mail mac.triple7@gmail.com.
   

  Attached Files:

 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Du hiyo ndio nyumba ya mil60? Kwanin usiseme unauza kiwanja chenye gofu?
   
 3. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu hiyo ni nyumba bhana. Ila ni sawa unavyosema ni kiwanja cause hiyo nyumba ni ya kawaida sana lakini kuna wakazi humo na siku zinaenda.
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hapo unauza kiwanja,pia isije ikawa kiwanja kipo kwenye ifadhi ya barabara,kwa endeo hilo aiwezekani mpaka leo kukawa na gofu lisinunuliwe wakati lipo barabarani! Wapemba wa yadi za magari awajapaona tu?
   
 5. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kabla ya malipo lazima ujirizishe kwa yote kama ipo hifadhi ya barabara basi wizara ya Ardhi watakwambia.
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  hehehehehe!
   
 7. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  ata million 1 sinunui
   
 8. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  milioni 60 , mbona kimara unapata nyumba ya maana ndugu yangu . dah
   
 9. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ahahahahahahah! Pole!
   
 10. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,024
  Likes Received: 2,646
  Trophy Points: 280
  Ntakutafuta ngoja ninywe chai kwanza maana sina uhakika na nilichokiona kama ni nyumba au ni gofu!
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  hiyo hati ya kiwanja kama hiki sijui itakuwa inafananaje Mungu wangu!!!!!
   
 12. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ahahahahahah! mkuu hiyo ni nyumba na si kiwanja.
   
 13. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ​Karibu!
   
 14. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ​imeshauzwa!
   
Loading...