House4Sale Nyumba inauzwa Kimara mwisho

bintishomvi

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
1,164
833
Nyumba ipo Kimara mwisho km 3 kutoka barabara ya MOROGORO maeneo ya Mavurunza eneo limepimwa lina ukubwa wa sq mita 900 nyumba imeishia linta ,(haijapauliwa) ni selfu ina vyumba 3 vya kulala kimoja wapo ni master sebure,sehemu ya chakula, jiko stoo vyoo 2 vya ndani ipo sehemu nzuri gari inafika na eneo la kujenga nyumba nyingine.
Bei ml 24
Mawasiliano 0718202286.

8b9c8ac3596eea5bbb59770276270239.jpg


7765bdd31c5ecb05e0d2dbb4c70b4075.jpg
 
Maana ya nyumba ni nini?. Hivi jengo kama halijaezekwa unaweza ita nyumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom